Usiku sacco

Ningekuwa na pombe ningeyapunguza haya mawazo. Mchana kutwa na usiku silali nimejawa na mawazo ya kila aina. Leo namwaza jirani wangu wa asili ya kihabeshi juzi nilipiga ngumzo naye akiwa sebuleni mwake akijipaka hina miguuni. Binti huyu apendeza anangaa kama mbalamwezi. Je wewe wafanya nini usiku wa manane?

hawa wanahabeshi wanafanana na huyu hapo kwenye avatari lako?

7 Likes

Just browsing,insomnia tu

1 Like

Mbalamwezi ni nini

Mbalamwezi ni mwezi mkubwa ulio na mwanga au mwangaza mwingi. Nakwambia Meria ukimwona huyu kidosho lazima utadata.

1 Like

Mbona nyie mwanipiga mawe kila mara eti avatar langu latisha mpaka mnasahau kuchangia mada? Uhabeshi ni inchi inayojulikana kwa Kiingereza kama Ethiopia. Nakwambia huyu jirani wangu anavutia hadi nimenogewa sina budi ila kumpa mistari mitamu mitamu kama halua ya kumdatisha.

hao wahebeshi naskia huwa maji maji sana

Fuck this thread and fuck you!!

Nimelipenda sana jibu lako…hongera.

Kumanina wewe ninyamazie

Ulintusi juzi ulidhani ntakuacha sio?? Dinywa kwa sana

1000 likes hapa Mzee…nimelipenda hili jibu zaidi ya la kwanza.

Kumanyoko

[ATTACH=full]17545[/ATTACH] akunyimae mbaazi amekwepushia mashuzi…

Hii napenda sana…Zaidi ya majibu ya hapo awali.

Mujamaa huyo alikuambia hivo enda akuambie ni wahabeshi wagani alikula

Na wewe uwache umama. Ukitusiwa juzi unatutangazia ya nini? Tafuta mraia utwange two slaps alafu malizia na sweepo upunguze hio kuzoewa

Keino :stuck_out_tongue:

Weka pikcha ya mhebeshi hapa hapa…ikinipendeza nitamdata na tutawacha dirisha sebuleni wazi, uone vile namfanya service-E…Donge???