Usiku Sacco

for the first time sina words za kusema
wakti nimejulishua kifo cha Theuri in Kilifi county didnt know what to say,
my inbox friend died in a rd accident kilifi, alikua ananukisha kitunguu.
i appreciate my informant and i followed his instructions, “dont post on ktalk”
well
ile imebaki sasa
ni we wish him rest in peace.

followed the instructions to the letter, but i told him this info lazima itatoka na sio na mimi.
na leo it has come to be
as we incognito here kaa uliiona kwa gazeti let it remain there.
usiweke.
kama kuna anything that will come up, we shall communicate.
Rest in peace @Theuri wa kigogoine

nakubali but hamfanyi poa, hii sio expose kama tulijua ya wanderi na wenye tulifaanya kitu tulifanya hakukuwai kua na stori zake za online after that, msitufiche who it was

my fren,
family said isiwekwe hapa.
i followed their wishes, just notified admin

May he RIP. Poleni kwa msiba.

Izaa joh but angalau picha yake man,Mimi ningependa kuona hao jamaa wawili Theuri (RIP) na Wanjohi wa Kigogo-ini.Pole kwa Wanjohi kwanza,he has lost a great confidant

A good guy

He was a very resourceful guy, may his soul rest in eternal peace, having said that I think we are taking this anonymity thing too serious, but we respect his family wishes.

I had his number tukiwa klist but its still sad when talkers remain anonymous even in death. Anyway as stated above we respect the wishes of the family. MHRIP.

@Meria Mata “gutiri mundu withikaga” atleast tungesaidia.

Damn, may he RIP… This guy was a true mbirionea, I always followed his commentary, alikua anajua mengi.

huruka thayau wa kigogoini

Poleni.i suspect this was the accident

https://www.nation.co.ke/counties/kilifi/Six-killed-Malindi-road-accident/1183282-5140148-i3i06yz/index.html

Poleni

Meria, even with neat Kenya cane, this has energised my tear ducts. Let it remain discreet as per the family’s wish.

Poleni.

MHRIP

R.I.P Theuri.

R.I.P to a great talker. Watu wa Tetu tumepoteza MTU wa nguvu! Aromaama kwega kuraga!

Poleni kwa msiba.