On behalf of @Meria Mata leo nimekabidhiwa funguo za store. Watu waingie wajishkie mzinga.
Mashujaa tunaanza kwa mpigo. Weka signature kwa kitabu ukiendaga.
0009hrs 12 Dec
On behalf of @Meria Mata leo nimekabidhiwa funguo za store. Watu waingie wajishkie mzinga.
Mashujaa tunaanza kwa mpigo. Weka signature kwa kitabu ukiendaga.
0009hrs 12 Dec
Nimelala… Nitaamka kukojoa baadaye…
(mlisema mtu akibuy guarana lazima anunue chips… Alafu anukishe kitunguu in the form of onion rings )
hii line mimi huskia radio Maisha humaanisha nini na usniambie niende nulize radio jambo
Huwa unaskiza Mbusii na Lion?
001 Kuna heat wave, hakulaliki
pole radio Maisha ule jamaa uleta rhumba usiku
county 001 ivi ndio kanjo mombasa wanashugulikia watu
anko joho for president
Leo silewi. Pancreas iliniuma after a week of non stop drinking…enjoy on my behalf.
[ATTACH=full]144320[/ATTACH]
Sijawai skiza radio maisha. Na kwani siku hizi [SIZE=2]mungikiress amekudomesticate mpaka umeshika routine ya radio presenters[/SIZE]
Come @manana…I hear my Kazo/activist Dr Jane Wamuongo was stabbed last night in Shathay by the proverbial serial killer…if you know Steve…you know what I am on about.
Hiyo trouser imeenda lunch.
00:30
Shathay ni wapi?
Pancreas in Swahili ni nini?
chesa shini
Muchatha :D:D:D
Don’t tell Matiang’i. Sijui!