Usiku Sacco

We are back, Mark register with a short hekaya ya vile siku yako imekua…

Nauza tickets ya Bondostan aka fake canaan…bei ya kufunga kazi.

Hayeeh!
Niko hapa…sio pale…

Ndaani waiting for the promised land ama namna gani

Kenya Ni yetu sisi sote

Yangu will not be a hekaya as such….buuuu (but) my day was not so great. I lost focus somewhere in the last 2 weeks and it had a knock on effect that messed one of my vvv top dons activities twice this week.

Reason I actually never would blog during the day, even if I had the chance As I could lose it all. Waaah…

I have 3 top kahunas but he is the most old school one and old in age! A bad week for me overall as I am also thinking about Kenya and my Mum. He is one one of my biggest fans so need to rope him again, as in earn my trust again.

@Freestyle your random call today was a godsend to me. Destruction(sp) like fire.

Namalizia Yohanna Mtembezi hapa Milele Roasters nihepe. Hii place is the official Kungurustan hapa Thicker Rod. Kesho naripoti mengi kuhusu RWNP pale Bomet ndani yake.

Niaje spear, umekula ini mbaru githuri guoko kuguru na gakuo kaingi, hope kichwa imebaki, naweza pitia kesho

[SIZE=5]MASHUJA DAY beste[/SIZE] aMEcome Na wasupa watatu. Walikuwa Yello Yello Na curvy with mini pencil skirts. But walikuwa wananuka my friend. Walikuwa wanaamka kwendea kitu unaskia stench Kwa Pua. This ladies you see na foundation Kwa sura Hua hawaogi. One of them prepared lunch but sikula. I was thinking maybe her hands are also smelling

Mbisha ni muhimu, ya pencil skirt ama ya smell

Chief, Niko interior but will be back next week.

tani yage kapsa, inyoni au?

[ATTACH=full]133772[/ATTACH]

Nikidetach trailer, Msedes prime mover double diff can climb any mountain trail better than a 4x4

I bet you would love that and so would l.

[ATTACH=full]133775[/ATTACH]

Secretary General @Fala 12 please check in

[ATTACH=full]133777[/ATTACH]

walitupeleka Uhuru park alafu wakatupea mia tano mm sikungojea speech ya mkuu nikatoka mbio nikachukua mat hadi home nikaendea mahidi za kupanda na ile panch sasa mashujaa yangu ikaisha hivo…

APAN TAMBUA USIKU SACCO