Usiku Sacco

Habari zenu wadau, Leo tumefanikiwa kuwa kwa launch ya the newest sacco in the village UMBWA (united metropolitan bird watchers association)
As of now iko na fayfte members na subs ni free. By Friday secretary ataangusha rules and regulations.
Mark register

Members officially known as Watoto wa UMBWA?

ndani !Ndaaanii ya sacco kama thong kwa rasa ya momo. Kazi nikirefresh Livescores

Niko niko. Kuumia slip moja na kufurahi kwa ingine.

Niko area

Hehe …kuna msee alipeana hekaya vile alienda kukamua momo huko riverroad akapata used CD imekwama katikati ya haga…kutoka hio time nikachukia momo

Sina neno…tuko unyo unyo. ES, haramissi TBT ianze mapema just after Afrojiri.

Kawa

In in in to the Sacco as usual at 21.34 in my hood. Waiting to eat my brown rice and some veg. You are most welcome MM. Jobwise all good, vv good so I thank God. The cold, rainy, windy, dark season is back but we can not say anything about that now. For a good almost 9 months going forward.

Wapi link. Hii inakaa zile za kuuza kama duka

2346 after kurarua sizzler, sembe na managu

9 months?
Kwani you were unable to save a penalty?

Kama bacteria

@inhener otmetka…I see what you mean:D…I did. But when I am going about my usual biz in the cold, he is in hot Doha.

Ndani kama kawa .

@Nefertities apewe secretary [SIZE=1](hapa nimejitafutia kutusiwo)[/SIZE]

ndani ya psacco…gethaa 12.55am…nanukisha kitunguu betpawa

[ATTACH=full]127919[/ATTACH] [ATTACH=full]127920[/ATTACH] [ATTACH=full]127921[/ATTACH] Laughing out at the brutality of these Ugandan cops. Ameslap kijana na teke, from the video this cop seems he graduated top of his class in taekeondo.(mnaweza safisha macho kwa profile ya hio kunguru ya kampala)

Sijaingia huku Kwa mad sasa, present

Ilikuwa culture na ilikua Aston villa