[ATTACH=full]11646[/ATTACH]
Wacheni nitafute white wine naja
[ATTACH=full]11646[/ATTACH]
Wacheni nitafute white wine naja
why you put your food on a doily bruh?
Nilijaribu urembo ikabackfire
:D:D:D Its ok bruh. You get points for trying
Asande
Aki ya nani Si hiyo mende Ni bwaku!!! I really hope you’re not gonna eat it
Hehehehe, hii nilitega kwa hacienda mpya ya wakanyama
Hii stuff utamu wake huwa wapi… 80%bones na kitu yacost 2k
The brandy that’s used to cook it
kama si githeri na waru asante.
but bado si usiku watoto wanangojea waimbiwe lullaby na rythm ya creaky beds
@Nefertities the doily is used to soak up the excess frying oil unless @Jazzman boiled the crustaceans.
naona masahani tupu tu!!!mmeshanimalizia
It’s just for presentation.
I thought hiyo doily ni injera design mpya
Fukc! Fukc! banging head on wall I missed
naulisa tu pole pole, doily ni nini sasa?
Karibu darasani tusome. You see that white, paper-like thing on which they are placed? Ndiyo hiyo doily.
naona ukiuliza maswali mingi ya aina hii…
Kheri nile panya na si ushamba, nishawai jaribu nikatapika hadi mafi ya juzi
dagitari tuseme tu ukweli, si hio kitu inakaa gitambaa ya giti