Usijidanganye na "Dem wa Church"

Sasa kuna huyu beste yangu dem ameokoka yake yote and she is actively serving in church. Let me take you back to when and how we met and became friends.
She joined the company i was working in and we really blended and shared a lot. After some time, kimchezo mchezo tu alikuwa ameanza kuniita “baby” sijui “babes” sijui sweetheart blah blah blah but na hapo ndio when we started flirting. Huyu dem akiniita hivyo already she had a boyfriend. We used to joke and she always told me that she can leave her boyfriend for me but it was on a light note and later, she told me that she is going to get married but sikuchukulia serious.
When the committe was set up, hapo ndio nikajua kumbe si Hekaya za Abunuasi.
Day ya wedding ikafika and kama major fisi i had to be an eye witness. When it was time to give gifts, she hugged me and whispered in my ear “baby i love you”. That was not news cause she had told me couple of times before but didn’t expect her to dare tell me that on her wedding day.
After she got married, we met like 2 months after just to catch up on life and she told me that she is in love with me even more than her husband. She looked so depressed and it’s like she hadn’t anticipated things would be the way they are but on her social media timeline, she shows the world how happily married she is.
Is it really worth it to be in a loveless marriage? This guy hawezi sema ako na bibi kwa nyumba and worst part being ni dem wa church. Hawa wasichana nini huwasumbua

Ulisafisha kuni??

kuni bado kusafishwa

NV samehea hio nyangau usiikamulie banaaaa

Hii story yote bila evidence

shida ni siwezi weka hii kuku kama pet. siku moja nitakuja kuchinja.

What did I tell you guys! Be extra careful about women that constantly parade you on social media especially when it happens out of the blues. It’s most likely guilt psychology at play.
Be careful about women that constantly shout their love for you on Social media. Women are shitty. - General - Kenya Talk

true story. This bitch posts almost every single day sijui “my main man” “my simba” and she gets like 500+ likes. i pity that relationship and i always like their posts. But deep down mimi ndio najua ukweli and i can tomba this woman any time even a month before and after their wedding. Watu wachunge hawa madem wa kushinda wakiparade love life online

Wewe si rafiki mzuri.Si utombe basi umetuambia juu yake na wewe unamdai ama your just enjoying her pretense n yet she is burning

put yr self kwa that groom ungeskia aje just let her go

Bila hata sketch ama thumbnail image

Usibomoe boma ya wenyewe juu ya kunguru .

Na hawa waschana wa hizi tabia hujua kupata husband material. Juzi pale kameme niliona interview ya dame mwingine former mukurino turned prostitute akipeana hekaya zake za umalaya na kupata infections sehemu nyeti alaf interview ikiisha unaskia ati amefurahi amepata bwana na wako karibu kufanya harusi. Wengine wakiretire SJ wanaenda sabbatical malindi wanapatana na muitaliano wanaona, dame anapelekwa europe anaanzisha familia.

Enyewe life haina formular. Kuna mwingine aliji nyakulia Italian.

Saa hii ana restaurant Two rivers na Waiyaki Way.

kama kuna boy beste yangu alilala akinyandua dame mwingine pale sagas thikaroad thursday moja last year on dec. alfu on sato yenye ilikuwa imefuata napeleka boy wedding ilikuwa kiambu road, kumbe huyo dame ndiye alikuwa ndani ya gown. nauliza boy, huyu si ule dame tulikuwa nayeye pale sagas…boy akanishow, mimi husema saa zingine hii nairobi hakuna bibi ya mtu full stop. Dame alikuwa anatuangalia tumeketi huko backbench anasmile

hii na ile thread ya jana ni uwongo yooooteeeee

Kula mtu nanii!

Hivo ndo kunaendanga

nyangau hakuna mtu amekuuliza

Sadness of life!