Mwanamke UNAYEMCHEZEA leo hii, ndiye ATAKAYEOLEWA na mwanaume mwenzako kesho! Je, unajua mke utakayemuoa wewe anafanywa nini leo na mwanaume mwenzako? Maisha ni mzunguko. Don’t play with a woman’s feeling…
ukifikiria hayo huwezi oa…maana kuna watu wanavuruga kiasi kwamba huyo ajaye anakuwa na mtihani.
Yote ni mipango ya Allah
balaaaa
asante sana mkuu…
cc @Smart911
Hivi “kumchezea” maana yake nini? Mimi sielewi.
aah bishop sio makosa yetu ni viherehere vyao
Tatizo wanaume wabishi kuelewa
Kitu ambacho hupendi kufanyiwa basi usimfanyie mwenzako
Na wanawake pia wasichezee hisia za wanaume.
Tatizo binadamu ni wabishi sana…
Cc: @Mahondaw
Nikikumbuka nilivyochezewa hisia zangu…nikabaki na chuki kwa wanaume…
Ila akaja kwangu mume mwema…nimesahau yote…
Mkuu umeuliza sawali zuri sana, niko seat ya mbele nasubiri majibu kwa wanaojua
Vice versa is true also
Mtoa mada @Bishop Hiluka tunaomba majawabu.
Hizi akili zingine ni kama serengeti lite kila mezavya bar huikosi
Tunachezeana bana
akijibu unitag mkuu
nakazia hapo
dunia ni uwanja wa fujo
Mapenzi yanajumuisha pande zote mbili wanawake na wanaume wapo wanaume wema pia nao pia unawaambiaje??? Mtu ukishaona hali si hali ruksa kutoka na ushukuru tu umeweza kutambua vitu kabla haijawa too late na si riziki uliyopangiwa
Ulichezewaje @Doncute hebu tufafanulie maana mtoa mada tumemuuliza anakwepa kwepa.