Leo katika uwekaji jiwe la msingi Chuo cha uongozi cha Mwalimu Nyerere Pwani, CCM na Vyama vya ukombozi kusini mwa Africa.China inagaramia sehemu kubwa ya mradi, na pia itatoa msaada endelevu elimu wakufunzi na mitaala! Baadhi ya Kiongozi washirika Mfano JPM kafurahishwa na kutamani kuwa CCM kitatawala milele! Kauli hii si ya kupuuzwa ,mbali ya kujipa uungu, wapo wafuasi na viongozi waandamizi wanafanya kazi kwa kuzingatia matamko ama kumfurahisha mkuu!Huenda mkuu anadhani tukihamia gafla chama kimoja,mfano mfumo Ukomunist China, ni challenge kubwa,kama taifa tutafanana na China gafla! Watanzania tudai ratiba bora.Tusikubali kuburuzwa na MTU na kikundi kidogo,tutajuta pamoja.
Anaropoka tuu mwehu
Wakuitwaga megafool
Nalog off
Megapombe, megaalcohol
Ngoja tuone…
Cc: @Mahondaw