Usb female to ethernet

Wakubwa mimi niko na swali… i have a dlink enye nimelink na explora…now nataka kuweka net kwa dlink…can i use a female usb to male ethernet(rj 45)…then put a modem? And if so can someone link mi to where i can get that stuff…nimeitafuta nikachoka

Dlink, router or switch?

Exactly kama hii bt iko na antena mbili… then iko na ports za LAN hapo nyuma

model gani?

Nunua dlink yenye iko na sim slot au modem slot. Hio hesabu unajaribu kupiga inakaa hard small…

piga hii number …0717627367 duka fulani tao ya hizo stuff nikama niliona hio kitu hapo

Wako na hii? [ATTACH=full]124143[/ATTACH]

siwezi sema yes or no but what i know ata kama hawana huyo jamaa probably mkiskizana will do shipment for you from china

Nilichapiwa itawak i wan try…bado sijagive up

1 Like

On it wacha nipige…