The USA prisons cost them 39 billion usd per year while our national budget in kenya is 20 billion usd for year 2015/16. Fathom that
Compare the size of USA and Kenya? 2nd cheki jela ua USA plus chakula ya wafungwa…compare that 2 Kenya… 3rd cheki mshande ya prison warden USA vs Kenya…so many tofautiz
Tig naona leo bangi umevuta na ukakunywa maziwa
Its crazy. They have over 2 million inmates
Hata wafungwa uchinku ni shadow mbele ya US. Biashara over human rights
they should do what Britain did to create Australia
Wanatambua human rights…lol
Mambo na food doesnt really matter cz huko a meal is very cheap! A dollar can get you overfed! Although sio ugali kunde nyama!
hapo umeexagerrate kiasi but aisuru
Which part brathamen? Ya dollar kukufanya uvimbe tumbo ama?
ndio mkubwa
uki compare hivyo utakuwa stressed bure, budget ya new york city ni 78.3 billion, almost 4 times budget ya Kenya
I hear the same thing, apparently KFC huko ni kama ile fast food inaitwa rock city pale odeon. Huku KFC iko kwa zile malls kubwa pekee
KFC na Subway ni za masufferer mawatchie watu wa kufyeka hivi hivi. I laugh when I see watu wa Lavi hivi hivi wakiswag atiwametoka au wanaenda KFC
They do that because at kenyan standards it is what it is