UoN Goons

It seems Babu Owino’s goons were dealt with properly.

[MEDIA=twitter]913462454834917377[/MEDIA]

[MEDIA=twitter]913614841033707520[/MEDIA]

[ATTACH=full]128507[/ATTACH]

wah hapo unatoka na broken ribs kadhaa

Hehe …good job

Frog match imewesa

Wachafuliwe iwe funzo kwa walio na tabia za kimsituni kama hizi. Kama si baba yako unapigania, kaalisha mc*#du kwa nyumba.

Nairobi Business Community are likely to approve this. :D:D:D

cover position.
not gd at all.
once they were inside the campus wagewaacha

sasa wanaeza waheshimu Amani na mali ya watu, wahudumiwe proper

Straight from ADD. Lakini hop-skipping aint that bad punishment.

Kweli Sponsor

Wafinywe vizuri kabisa…samaki mkunje angali mbichi… Ulikuwa unaenda kuwikawika and engaging police in running battles ni kama ni unit shule. Nkt! Hao goons walichapa watu hostels time ya strike ati cause they’re not striking. WAFINYWE KABISA! Hio ujinga iishie campus. What’s the point of being in university when you can’t be smart in other spheres of your life. Hata mamako akipigiwa simu umevunjwa miguu na alikuwa amekuona TV ukikimbizana na cops atafikiria nini? Ameng’ang’ana ndio ukuje Nairobi kusumbuana na GSU, na unapata SUPs every sem…nkt. When you behave badly, you’re endangering yourself, those in the school or the area hapo…so si maisha yako pekee on the line. Ni kama the politician will sendyou money for running and taking a beating on his behalf…WAFINYWE vizuri!

hii campus tulisema ipelekwe kapendo

job well done

Unaenda kuleta uhuni kwa streets sababu wewe ni mwanaume kamili lakini sasa ukifuatwa mpaka kwenye unakimbilia kujificha inakuwa tena eti its unfair!? Kuna jamaa wa bodaboda niliona amevunjwa mapua na mawe mpaka gsu wakaacha kupambana na hao wahuni kwanza wampatie huduma ya kwanza

Kazi msoori hii

swafii

Msilete UKABILA hapa. That is how MBOYS IN MBLUE NDEAL with student uprisings all over KENYA! Unataka ugonge baba ya mtu mawe alafu akusomee katiba?

Sitawai sahau wakati kulikuwa na demo nikiwa mwanafunzi hapo UON. Mimi sikuwa na habari eti kuna mgomo, ‘comrade power’ or whatever, nilishtukia tu makarao wako nje ya room.

Mi niriruka kutoka 2nd floor, bahati tu sikuumia.

During my time there, I had many near miss vs the guys in blue. This days, cops are more humane. Siku moja nitapeana hekaya.

hii story yako inakaa ''ukweli mtupu" :):slight_smile:

Mtu aamke mapaja na magoti ikiwa moto usitake fanyishwa hii kitu…