Uncle ya Uwesmake aliamua arudi risaf akafuge khukhu.

Mzee alirudi Kanduyi na hana ztress. :D:D

Na inaonekana bado analea, transformer bado iko na umeme.

https://www.youtube.com/watch?v=vb_LIBtzAxw

Tulichambua hii clip lini?

…ile time midget ilipanda mti

Midget @Panyaste kuja mbio

Afande, naona ukijaribu derailment. Lakini tushaona reality ya life in Kanduyi on the glaud… :smiley:

The eye has seen.

Na news yenyewe ni ya this past Monday wala sio February 2010 ama September 1972.

Bifwoli ako poa. Niliona hio clip na mps wote wangekuwa na attitude kama yake kenya ingekuwa far sana

Na kuhusu hili swala nyeti, kwa mazishi ya marehemu Chacop Chuma niliuliza tu casually… hata sikuwa na malice… so nikauliza, “Ummmm so tuseme huku ndio ushago yaani risaf kwa Chuma Chacop?!”

Weh… battalion ilini changamkia!! :D:D

‘What are you trying to say?’

'We pattie wachaga uchinga… Huoni huyo cameraman mshienzi anakata picha?! Behind that cameraman there is a stone villa of indescribable proportions… Don’t be foolish! Schtupit!!"

Lakini cameraman hakuwa na ubaya… alileta picha jinsi anavyoiona. Akiona kiatu ya brother ya Juma imetoboka na vidole ziko nje… sasa angeangalia wapi kwingine jameni? Where was he to look?!

Na bado wanamsifu hapo, “Aki Chacop ametusaidia. Bila yeye hata mavazi… hata fiatu… hata school fees… tumepotesa mtu ya maana sana sana sana!”

We

Where and what were you doing in 1972 ?

Nasema the video is not old. Yaani it’s not from 2010 or a random year like 1972, it’s only from Monday this week.

Lakini boss, Bifwoli amekuwa M.P hizo miaka zote including Asst. minister ati ile siku ameona camera ya news ndio anaamua kumwaga lorry moja ya mawe … face saving.

Mtu alikuwa anashinda na President na ministers? Anyway labda Ruto ataskia kilio na aende na ile school bag yake ya manoti this coming Sunday

:D:D:D:D:D,ati lorry moja ya mawe to save face…nisawa tu Patty

I don’t discuss dead men.

Manze na ni mawe shapeless sijui inakaa aje. Halafu anaambia hoi polloi ati wao pia watoe. Sasa wanamuangalia wanashindwa mbona leo mwalimu ameamua ku act movie. Anaitasha aje pesa na anajua jibu?

Na Bifwoli alikuwa Asst. Minister of Lands. Na walikuwa parliament moja na Soita Shitanda ‘Minister of Housing’ from 2005.

And before that kulikuwa na Lawrence Sifuna baba ya Sifuna, & I believe a former minister.

Ningekuwa huyo mzee ameketi next na Bifwoli ningeamka nimtwange makofi, “Mheshimiwa mpona unatucheseanka sinema mchana mchana namna hii ati unaitisha pesa ya matirisha… mpona unatucheseanka like tis way?! Mpona unatupepa ufala kitikteta?!”

this guy is fairly rich , he has a couple of flats in kahawa sukari , hostels earning him good money monthly …hayuko mbaya saidi vile