Unapelekeaje mfungwa dishy ya pawa kwa Stenje?

Boy ameshikwa ako Cell alafu mafala zinaenda pale na chakula ya KFC…maNgoko na njiva na kadaso. Buda uyo boy wenyu after mtoke either hio dishy itachukulia na huyo Mbeast ako hapo nyuma ama akiingia nayo mafisi uko ndani watam actia…kama beshte yako yuko mneti pelekea yeye bread na milk…na ma rooster, nuthin more
[ATTACH=full]24062[/ATTACH]

3 Likes

I read a story, Kifo Kisimani… Askari III alikuaga na iyo tabia

4 Likes

Yaani mafala wanachukua selfie kwa karao

1 Like

ni vile huyo karao ni fala …wangeambiwa waache simu

Waache simu wapi na wako side ya nje ya counter? Kwani hujui vile police stations hukaa ?

Inaitwa selfie generation.
bado sasa selfie za mtu akihara na akiibiwa.
stupid kabisaa.
if i ws the cop hapo wangelala ndani for unlawfuly taking pics in a police station.

1 Like

Pita nje ya police Stn 6am /6pm when they are raising the flag na wapige firimbi na ukose kusimama…useme uko nje ya police stn…sawa? do hivo

1 Like

hizi firimbi zao waziwekeange ata woofer! stori ati msee ako haraka zake kwenda hustle alafu anachangamshwa manyaunyo apana

3 Likes

:D:D:D:eek:
They especially enjoy embarrassing guys in the company of cute chics.
They make you perform all kinds of nonsense to earn your freedom.

3 Likes

kwanza zile ufala za ati umeachiliwa alafu mijinga inakupea push na nyaunyo za mgongo

4 Likes

Della akikuwa ameenda kuona beshte yake?

Huyo boy wa ghafla na sikia bob colimore alilipa ma goon mbesha, waka mpenya mkundu bila Vaseline,… huko central stenje, true story.

1 Like

Anaitwaje?

He most probably means Nyakundi, though I doubt if he’s in any way related to Ghafla.

1 Like

So that is the Nyakundi who is always in trouble? Ati pia amesue Larry Mandondo.

Nacheka.

WEE HOMOSEXUAL MANGOKO NI NINI ?

Yes, you know that’s what you do.
Bored cops can come up with very sadistic methods to amuse themselves.

1 Like

On the left in Xtiandela na mfungwa ni Nyakundi

Uwes io ndo kuku