Waiteni waje, hebu tuambie umewaita wangapi na umefanya juhudi ipi? Utamu wa jukwaa unategemea wingi wetu.
Mshana Jr chombo chake Itakua kimepata panja
Watajaa tu mkuu mambo ni taratibu
Mshana,bujibuji wamekosa passport soon watakuja
Uongo mbaya sijaita mtu kwa sababu kule sijawahi kufahamiana na mtu yoyote wala kubadilishana details.
Insta kule nimeita watu
Kufika huku nako ni issue, mie nimefika kimiujiza tu na umebidi nitumie ID mpya
Cc,mshanajr
Nisha waita wawili.hadohado hulugendo.kama wakenya mtuvumilie tuu,kwa lugha mama zetu
Nimeita kule Twitter na kwa mawasiliano ya WhatsApp
Nadhani wiki Hii list Itakua kubwa maana hapa tunahesabika