Basi ulaaniwe wewe.
Duuh mkuu mi nlivyoona tu heading nika like bila hata kusoma ndani
Anaeanzisha vita na mitandao ya kijamii dunia ya leo eti tu kwa sababu anakosolewa na hapendi yanayozungumzwa humo hana akili kabisa. Ni sawa na mtu anayekimbiza upepo. It is never a winable war!
Kwa utaalam gani kwanza mlio nao? Unataka kuhakiki yanayopostiwa Facebook na Instagram, anayemiliki hizi platform anakujua hata sura? Biti tu kwenye vyombo vya habari wakati kwa uhalisia ni hopeless kabisa!
Wakati wenzetu wanawaza kurusha satellite zao za mawasiliano ili kujikomboa sisi tunakesha kudai kodi ya viblog vyetu vinavyoanza na kuhangaika nani kaposti kitu kisichomtukuza huyu nanii!
JF ni ghala la elimu kubwa sana za maisha, elimu, ujasiriamali… kila kitu! Reistate JF acheni upuuzi wenu. Hasara mnayowatia wananchi wenu ni kubwa kuliko hayo maslahi yenu mnayoyadai kwa nguvu! Ila hata msiporudisha JF, we still have many options! You won’t win this I promise you!
Unatafuta nini Kenya si ukae huko huko TZ na huyo shetani wenu. Unatafuta nini huku.
Jiwe kwa maa a ya magufuli Wa Tanzania mbona unajifanya huelewi?wenye akili wanajua analaaniwa dikteta
Wabunge vijana wenye “nguvu” wamchangamkie cheupe wale coomer :D. Jiwe lina stress haliwezi ku perform
Kwakua wewe tayari umeshalaaniwa?? Sasa unataka kila mtu alaaniwe kama wewe.
Sasa Team Magu huku ukimbizini mnafuta nini
Haya majitu hayajielewi kabisa. Yanashangilia anachokifanya Jiwe, leo amefunga JF, yanakimbilia huku masenge makubwa! Kaa huko TZ mshangilie Jiwe lenu kwa kuifungia JF
Jiwe na lilaaniwe na mashetani wote walikaribishe kuzimu
Dah si mchezo ili chaka ndio nimeligundua leo asee ila we will keep in touch, Huu ni upepo tu utapita
Yaani upuuzi mtupu mkuu…mtu amekufanya umeama nchi na bado unaendelea kumpamba!!
Hawa watu wanapatikana Tz tu.
Hahahahaha…vijana wamsaidie mzee kumfanya cheupe dawa afike kunako kilele sio???
Ukimbizini Kenya , bado tutakwenda South Africa maana hawa wa EA hawaaminiki
kabisa boss mana Magu anaweza kumuambia Uhuru kuwa hao washezi wachochezi nimewatimua huku na huko fukuza
To me final destination should be in Western Europe au USA. Hapa ni transit!
Kwa kweli inasikitisha. Adui number moja wa maendeleleo ya nchi nyingi za Africa ni kutokana na the kind of leaders we have. Kwa mfano kiongozi anajiita yeye ni JIWE.Kama tujuavyo JIWE halina VISION and the scripture says " without vision people perish"
Jiwe halitadumu hata kwa tetemeko litadondoka tu
Hahahahahaha natumaini ujumbe umemfika