ULAANIWE JIWE NA UZAO WAKO

TUMEKUWA WAKIMBIZI KENYA SASA. ULAANIWE JIWE NA UTAKAO WAZAA NA CHEUPE

Huku ukimbizini watu mnajilipua tu, taratibu jamani.

Kaka

hahaaa bongo watu walivyo na roho mbaya na kukosa akili akikuua amehakikisha kbsa amekukata shngo katenganisha na kiwili wili lakn ikatoke kesho anakuona mtaani unadunda baadala hata ajiulize imekuaje anafkria kukuua tena, hahaaa poor me…

Hahaha aisee

Ukishaamua kujinyonga usifikirie maumivu yake

Hawak

Hawakawii kuvuka wale wasiojulikana ukaghairi kujinyonga

Na watu wote waseme Amina.

Aminaaaaaaa

Napita taratibu…

Cc: @Mahondaw

sina neno

Atakuwa anajilaumu mwenyewe Jiwe kwa kufungia mtandao pendwa TZ wa JF

Pale JF Moderators walijitahidi sana kufanya censorship ya kila habari inayopostiwa pale

Watu walikuwa wakila ban ile mbaya kwa kupost habari ambayo huna uhakika na chanzo chake

Huku ughaibuni moderators wake wako “more loose” kwa kuwa waTZ tunajiachia ipasavyo kumchambua huyu dikteta Magufuli, kwa kuwa sheria ya maudhui ya mtandaoni inakiuka hata Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzsnia, ya mwaka 1977, iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2005, Ibara ya 18(1) ambayo inatamka wazi kuwa “kila raia atakuwa na haki ya kutoa mawazo yake kwenye chombo chochote na Uhuru huo hautapaswa uingiliwe kati na chombo kingine Chochote” mwisho wa kunukuu

Sasa huyu mwehu Jiwe “amewaagiza” wabunge wake wa CCM kupitisha sheria ambayo inakiuka hata Katiba yao wenyewe ambayo waliapa kuitii na ndiyo matokeo ya kuzalisha kwa kujitakia ukimbizi huu na kupata hifadhi ya muda huku Kenyatalk

Ni kweli naunga mkono hoja kwa kumlaani Jiwe na uzao wake wote atakaozaa na cheupe wake! Wote tuseme Amen

Naona Pascal mayalla amelike

Aisee ndugu zangu mnaniaibisha huku ugenini;

Mtu unalaani jiwe??

Amen!

Wewe nawe sijui umetokea wapi?
Wanaacha kuja watu wenye akili zinakuja takataka hizi za lumumba.

Yaani bado unamshabikia aliyekufanya uwe mkimbizi.

Ama kweli ujinga ni kipaji.

Sasa mkuu ulichokizungumza hapa kina halalisha mtu kulaani jiwe??
Hivi unapata picha gani unavyomwona mtu akilaani jiwe??

Alaaniwe kabisa

Neno lako na litimie…wote tuseme Amina…!

We una ndugu yako hapa? tuondolee nuksi.