Ukimtumia sms ‘‘Mambo mpenzi wangu?’’ akikujibu ‘‘mambo mabaya’’, usimuulize kwanini mambo mabaya, ukimuuliza atakwambia kuwa ‘‘sina hela dear’’
Ukimtumia sms ‘‘Maisha yanasemaje kipenzi changu’’ akikujibu ‘‘maisha magumu hubby wangu we acha tu’’ usimuulize kwanini, ukimuuliza kwanini atakwambia ‘‘nimefulia mwenzio kama nini sijui’’
Ukimtumia sms ‘‘Mbona kimya sana mchumba wangu, umenitupa kiasi hicho’’ akikujibu ‘‘sijakutupa wangu yaani mambo hata hayaendi’’ usimuulize kwanini mambo hayaendi, ukimuuliza atakwambia kuwa ‘‘yaani sina kitu mpenzi wangu, simu ilikuwa haina hata hela ya kubeep’’
Au ukiona mwanamke anaanza kwa kukwambia nikwambie kitu? We mkatalie kiutani utani tu, mwambie usiniambie, hata akikomaa vipi akwambie mwambie sitaki uniambie huku unafanya kama utani lakini moyoni unakuwa upo serious.
Ni mara chache sana mwanamke akikwambia kuwa mambo mabaya, maisha magumu au mambo hayaendi huwa na matatizo mengine kama kuumwa, misiba… n.k lakini THE REST ni wapigaji mizinga tu. Akikwambia maisha magumu mjibu ''pole wangu, mambo mengine vipi?
Hahhhahahhahahahahahhahahahahahhaa…
Muda mwingine unajitoa kidgo kuhonga…
Kutoa ni moyo, sometime unafanya kama zawadi
Sasa ulitaka shida zake amwambie nani?
Wewe ndio mpenzi wake basi muhudumie.
Bingi
June 16, 2018, 9:35am
7
ajikakamue kivyake azitatue hizo shida mwenyewe, sio kila saa ni kuomba omba msaada…kuomba msaada mara moja moja ni sawa, lakini isiwe mazoea
Pole sana…
Japo maisha siyo kutesa kila siku, ila pesa ndiyo kila kitu…
Cc: @Mahondaw
diploma in wadada affairs
wale team chaputa hizi sms hua wanazisikia kwenye bomba
Matatizo ya wanawake yanatatuliwa na wanaume
Ukiwa we ni mwanaume tafuta namna ya kutatua matatizo ya mpenzi wako
_255in
June 16, 2018, 10:58am
13
Kwa hiyo wewe unataka kula papuchi tuu bila hata ya kutoa hela ya sabuni,mafuta mazuri n.k?
Ukiona hivyo ujue unapenda papuchi low quality.
Ukimtumia sms ‘‘Mambo mpenzi wangu?’’ akikujibu ‘‘mambo mabaya’’, usimuulize kwanini mambo mabaya, ukimuuliza atakwambia kuwa ‘‘sina hela dear’’
Ukimtumia sms ‘‘Maisha yanasemaje kipenzi changu’’ akikujibu ‘‘maisha magumu hubby wangu we acha tu’’ usimuulize kwanini, ukimuuliza kwanini atakwambia ‘‘nimefulia mwenzio kama nini sijui’’
Ukimtumia sms ‘‘Mbona kimya sana mchumba wangu, umenitupa kiasi hicho’’ akikujibu ‘‘sijakutupa wangu yaani mambo hata hayaendi’’ usimuulize kwanini mambo hayaendi, ukimuuliza atakwambia kuwa ‘‘yaani sina kitu mpenzi wangu, simu ilikuwa haina hata hela ya kubeep’’
Au ukiona mwanamke anaanza kwa kukwambia nikwambie kitu? We mkatalie kiutani utani tu, mwambie usiniambie, hata akikomaa vipi akwambie mwambie sitaki uniambie huku unafanya kama utani lakini moyoni unakuwa upo serious.
Ni mara chache sana mwanamke akikwambia kuwa mambo mabaya, maisha magumu au mambo hayaendi huwa na matatizo mengine kama kuumwa, misiba… n.k lakini THE REST ni wapigaji mizinga tu. Akikwambia maisha magumu mjibu ''pole wangu, mambo mengine vipi?
ze dudu bahili wewee!!!kaaah!huachiii!!!
Demii
June 16, 2018, 1:22pm
15
Watu kama hawa manzi wao lazima wawe na visaidizi pembeni
Ukimtumia sms ‘‘Mambo mpenzi wangu?’’ akikujibu ‘‘mambo mabaya’’, usimuulize kwanini mambo mabaya, ukimuuliza atakwambia kuwa ‘‘sina hela dear’’
Ukimtumia sms ‘‘Maisha yanasemaje kipenzi changu’’ akikujibu ‘‘maisha magumu hubby wangu we acha tu’’ usimuulize kwanini, ukimuuliza kwanini atakwambia ‘‘nimefulia mwenzio kama nini sijui’’
Ukimtumia sms ‘‘Mbona kimya sana mchumba wangu, umenitupa kiasi hicho’’ akikujibu ‘‘sijakutupa wangu yaani mambo hata hayaendi’’ usimuulize kwanini mambo hayaendi, ukimuuliza atakwambia kuwa ‘‘yaani sina kitu mpenzi wangu, simu ilikuwa haina hata hela ya kubeep’’
Au ukiona mwanamke anaanza kwa kukwambia nikwambie kitu? We mkatalie kiutani utani tu, mwambie usiniambie, hata akikomaa vipi akwambie mwambie sitaki uniambie huku unafanya kama utani lakini moyoni unakuwa upo serious.
Ni mara chache sana mwanamke akikwambia kuwa mambo mabaya, maisha magumu au mambo hayaendi huwa na matatizo mengine kama kuumwa, misiba… n.k lakini THE REST ni wapigaji mizinga tu. Akikwambia maisha magumu mjibu ''pole wangu, mambo mengine vipi?
Dem akituma SMS kama hizo mimi humsaidia lakini baadaye namnyandua hadi kwa settings…hakuna cha bure
Niaje @Demii , niliskia wewe ni dem. Ni ukweli ama una mjulubeng bwaku kama mimi?
Demii
June 16, 2018, 2:24pm
18
Nina mkuyenge mkubwa kama wa kwako
Tupate inbox nione effindense
Ngoja wapiga mizinga waje