Ukikufa na stress unaambiwa ni korona

[MEDIA=twitter]1331459088807555072[/MEDIA]

[ATTACH=full]335914[/ATTACH]
Ukikufa wanakupata wapi ndio wakuambie?

Ukifa na msongo wa mawazo inasemekana ni Corona. Hicho ndicho Kiswahili sanifu.

Ujuaji ndio maana mtakufa na brain aneurysms na mwambiwe ni korona

Our brains are always positively engaged and we can’t accept to succumb to stress.