Kuhusu Uhuru wa Habari,nchi za Africa zimeshindwa kuvumiliana na wananchi wake,nashauri wenye mamlaka wajitafakari.
Magufuli hana hamu ya ushauri wako. He is the legitimate President of the republic of Tanzania.
We have our own fundamentalist theives in power here we can’t hear you.
THEIVES ~andika Thieves
Tatizo kubwa wamezoea kusikilizwa kwa miaka zaidi ya hamsini na tisa hivyo wanajua hao ndio wajuaji. Uchumi wetu ililkuwa sawa na Korea kusini, Singapore , wenzetu sasa wanachanja mbuga siyetunataka kutukuzwa!
Hiyo dhana yako kwamba kuna tafauti kati ya nchi na wananchi ina udhaifu wa kimsingi.
Wacha nijaribu sijui kama utanielewa. Karne ya 1960-1970 uchumi ya nchi nyingi za Afrika Mashariki zilikuwa sambamba za uchumi wa South Korea.
Kuanzia 1950 - 1953 vita mbaya sana ilitokea huko Korea dhidi ya communists na capitalists. North Korea ikawa inapendelea communism economy na South Korea ikapendelea capitalism. Basi USA ikaamua kusaidia South Korea kupigana na North Korea. After the war USA ikasaidia South Korea na technology na ikawafungulia market ikawa ina import billions worth of products from South Korea.
It was only a matter of time until South Korea iinuke
Roho ya kwa nini, hakuna kingine…