Uhuru park

I wonder how comes pale uhuru park kila mtu ako na accent. 90% of the leaders wanaSHEMA.
And how comes they are addressing us in vernacular??. Sisi waDIGO hatuski.

7 Likes

Then the message is not meant for you

7 Likes

Hold up, someone is speechmaking at Uhuru park in a language other than Swa/Eng ?

  1. WTF Kenya

  2. You’re a fuccboi too. What is at U.Park and who is addressing and in what language ?

2 Likes

Hii ni @kelele tuu juu hii information yako is half baked. Jaribu kutumia 5W for the benefit of those hawako uhuru park ama karibu na TV

1 Like

kululu tuu

halafu tunasema ati tumalize tribalism

1 Like

Sema UOTP kunyongwa!:D:D:D:D:D
Wengine wanadai wao ni wadigo…SMDH.
Lastly, RWNEEEBPORK.

1 Like

Wanasema iko locked

1 Like

Weka audio ya accent ya wadigo ama hii ni @kelele tuu

2 Likes

Hii lugha ilikuja na meli watupie ya kwetu waone vile tunajua kuichanganya

Is that Fred Gumo in the background? Uhuru park

Ata Madaraka day you complained the same juu ya Lucy Wa Ngujiri and Kamaru singing in the slopes lingo.
But you know what,
RWNEBP!!!

2 Likes

Fred Gumo in the house

Finally everyone is becoming a pretender

1 Like

I like that gloves are off when handling mganga mmoja.

3 Likes

Pengine ulienda Uhuru park ya bondo.

1 Like

Hehehe… Utapeli, ujanja, ukora, uganga na uchawi, Duale amecheka sana kusikia hivyo.

2 Likes

Kiswahili ndio unaita vernacular ama ni hizo phrases wanatumia to refer to NASA ndio unafikiria ni vernacular… Been watching it, sijaskia anything but official languages…lakini huyo DJ anajua kuingiza sound effects:D:D:D…

Ati babuon hana primary n secondary papers

1 Like

Hehehe… Ruto bwana, ati Raila has not done his class 8 and form 4 kama anadang’anya, Raila akuje aonyeshe certificate zake… Habari ndio hio.

5 Likes