Ugali Na Maharagwe. Despised Yet Very Healthy Meal

Watu husema Hii ni chakula ya jela but eating beans daily as opposed to eating meats daily is a healthy alternative, say Dr @Ndindu

[ATTACH=full]490639[/ATTACH]

Erikana, bado unakamata ugali asubuhi

Njaanuary chronicles

hapana umiza mwili kula coconut fish kama mimi, it is the least you can do for your body. Badala ya kula hio kisha unakunywa illicit brew inachoma maini halafu unapuke sukuma yote aibu inaingia.[ATTACH=full]490642[/ATTACH]

dim eyes orangutan detected

Yes. I still eat a full course meal at 6 am. Ugali, stew, glass of milk or Yoghurt. Nina Miaka kama 4 Bila kula bread

Shida ya bread ni gani doctor

Na wala Tafi, uko pande gani ya coast?

Too processed

heri mimi, wewe huwa unapost organs za ngombe hata hazina majina zimechemushwa unakula for supper.

niko bamburi umejuaje niko coast?

Ushaiona that type of fish served like that in any other place apart from coasto

yes coast dishes huserve kwa kama hizi

chakula huku freshi, tunarudi kwa muhindi monday sgr a sunday. I wonder how people used to live before sgr buana hata nashangaa bado watu hupanda basi. Ndio hio breakfast ndio nataka kuenda sherehe

[ATTACH=full]490692[/ATTACH]a sunday. I wonder how people used to live before sgr buana hata nashangaa bado watu hupanda basi.

i dont care how healthy it is, its a terrible combo

true, very high glycemic index and low in fibre

Wewe uko na ile kasumba ya Kukula nyama ni kuwa tajiri na kitambi pia ni utajiri

Reminds me of boarding school. Hii na githeri ni chakula ya jela. Disgusting foods sitawahi onja tena

Milk is useless for an adult being. There’s a reason you are weaned off at six months. Its only humans who go back to drinking animal milk when they are adults.Nature has a reason.

Disgusting meal sijaikula since high school. Afadhali rice/beans.