@255 hamna Jambo la maana la kujadili kwenye redio
2 Likes
Sijaskia sumbawanga kwa wasukuma. Hao washamba wa TZ huamini mambo yasiyokuwepo.
3 Likes
Kwanza hizo ng’ombe za korongwe pale tanga
2 Likes
Si pia wewe Kuna day ulisema uliachiwa hio talent ya kuganga na kugangua?
3 Likes
Sumbawanga is a city.
It is the capital of Rukwa Region. Wamesema Rukwa ni No. 2.
1 Like
Yanguyni original,nilizaliwa kama nimeshika kamote, si ya kubuy huko kwa ng’ombe @255
2 Likes
Mnanitag nikianza kuwashushia kibano mnalia niondolewe
Eti huko waweza kutana na uteo ukipaa angani wenyewe bila support yeyote ya mwana Adam.
1 Like
- Huyo meffi anaweza sema vile jamaa alirogwa aka kunia flamingo Iko na sura ya mtu