UCHAMBUZI WA MPIRA BONGO..

Uchambuzi upo kama tunafundishwa darasa la pili…

Umeshasema TBC mkuu.

Hawa wakaage kumsifia jiwe tu.

Huenda wamegundua mwafrica bila fimbo hafundishiki kabisaa

Hahahhahahhahahahha, hapo nimekuelewa…

Hahaaa

Hahaha na mishati ya vitenge kama wanaimba kwaya, yaani hao kuadvance bado sana

P O I N T E R

TV ya taifa inatakiwa iwe na software husika katika post match review kama tunavyoona kwenye Supersport!

Mwalimu kashasha