Jamaa mmoja huko insta kapewa ubuyu wa siri kuhusu boss wa mawingu basi mwanaume wa dar akashindwa ficha siri kaenda post mtandaon na kutaja chanzo cha habari husika.[ATTACH=full]179568[/ATTACH]
Chanzo cha habari kuona hivyo akamuibukia jamaa watsup,jamaa kascrenshot convo na kuzibwaga tena insta[ATTACH=full]179569[/ATTACH]
[ATTACH=full]179571[/ATTACH]
TANZIA: Ni Taarifa za kusikitisha, Msanii wa muziki kutoka Nchini Nigeria, Dbanj ‘@iambangalee’ na mkewe wamempoteza mtoto wao wa kiume, #Daniel kwa kuzama kwenye Bwawa la maji(Swimming Pool) nyumbani mapema jana. _ Mtoto Daniel amefariki akiwa na umri wa mwaka mmoja. #RiPDaniel[ATTACH=full]179572[/ATTACH]
Aiseee…kwa nini wanataka iwe siri…?
Mnataka kumuharibia Dozen kibarua chake adhalilike mjini
Duh!.. :oops::oops::oops:
Daah Rama Dee mbona anazingua sana
Ugonjwa sio kitu cha kuchekesha. Hata kama mtu humpendi huwezi kufanyia comedy kuhusu ugonjwa wake. Ubinadamu kwanza.
aseeeeh ngoja tuone, bt b12 ndo maana sijamsikia kweny xxl jana
Wanaume wa Dar ni ngumu kuwatofautisha na wanawake .
Pole D’Banj kwa kupoteza mtoto,haya matukio ya watoto kuzama kwenye swimming pool yanatokea sana,nakumbuka hata Makamu Rais wa Zimbabwe kipindi hiko alishawahi kupoteza mototo/mjukuu kwa kuzama kwenye swiming.
Nimeoa baadhi ya watu wenye swimming pool huwa wanafukika kwa Nyavu juu kuepuka watoto kuzama,nafikiri its a high time wenye swimming pool nyumbani kuweka vizuio kwa juu.
Pole sana Mkurugenzi wa vipindi Clouds FM Ndugu Ruge Mutahaba kwa kuumwa kama ni kweli maana no any official information ni hearsays tu.
Dhaaaaaaaa ruge ugua Pole mkuu
Ruge Mgonjwa Wanataka Iwe Siri
Angekua Diamond Mgonjwa Ingetangazwa Kila Kona
Amekosea sana huyo jamaa… Sana.
Wema Sepetu ni mgonjwa
Wanaume wa dar bhana wambea kama dada zao.
Naona kibarua cha b12 kikiota nyasi
Wema anaumwa nini tena?
Kikiota Nyasi Hakosi Shavu Efm
Mange Kasemaje kwani?