Ubize na kazi unavyoua mapenzi ya sasa

Wakuu,

Suala zima la utafitaji wa pesa kwa sasa umekuwa ukiharibu mahusiano/ mapenzi.

Sasa hivi si mwanamke wala mwanaume muda wao mwingi wanapoteza kwenye kazi.

Mwanaume akirudi nyumbani kachoka mbaya hata gegedo halisimami.

Ukija kwa mwanamke naye hivyo hivyo amechoka mpaka ute wa uke umekauka.

Hapo kuna mapenzi kweli!

Doncute mwenyewe…

Ww ndo mko hivyo na mumeo…

Sio kweli mkuu, mapenzi ya sikuhizi kwa asilimia kubwa sana uharibiwa na utandawazi.

Mkishakuwa bize hivyo ni kiasi cha kuwekeana tarehe maalumu ya kazi,siku hiyo ikifika hakuna kisingizio cha kuchoka wala nini…

Nakumbuka enzi za ujana wangu hapakuwa na vitu kama sim, emails, telegram na vitu kama hizo. Sikuzile tulifanya kazi mikoa ya mbali na wapenzi wetu, na tulwasiliana kwa barua pekee ambayo pengine ilichukua hata mwezi mmoja kumfikia mpenzi/mke. Pamoja na hayo mapenzi hayakuharibika kwa sababu ya kazi ama umbali.

Kila kitu kina nafasi yake! Ni namna mnavyowekeana mazingira ya kuishi tuu

hiyo kitu haina uhusiano na kitu ingine yeyote…kama kweli mna mahaba ya dhati…mnaenda shambani asubuhi…mkirudi mchana kupumzika mnapiga mechi ya changamoto…mchana haooo shambani…jioni hiyoooo…cha kulalia swafiiiii…hapo ni mahaba na si ubazazi wa kimahaba…

Hili ni somo pana sana, si jambo la kueleza kwa mstari mmoja tu ukaeleweka, maana yapo mambo mengi yanayoweza kuathiri mahaba, kuwa bize ni sehemu ndogo tu…

wachache sana, kama ingekuwa ivo idadi ya watu ingepungua ref.japan, korea bt inaongezeka kwa kasi.

Hata nikichoka kusimamisha kama kawaida kazi haiwezi nizuia kugegeda

Enzi za ujana wako lini?

Yaani mpaka barua imfikie Ulikuwa unachapiwa aisee

hatari sana

Cc @Smart911

M

Mapenzi hayaribiwi na kazi wala ubize

changamoto ndogo tu hii

Point yako ni ipi? Umetoswa?

Inasiktisha sana…

Cc: @Mahondaw

hivi ni mapenzi kuvunjika au kukosa time ya sex??

Piga blowjob na ky mtumie.
Problem solved.

Hivi utalazimisha wakati mwanamke hana hamu?

Eti kugegedana kwa ratiba siku hizi kama linavyopangwa kombe la dunia lifanyike kila baada ya miaka minne! Halafu mnasema kuchapiana kutaisha?