@255 Mnafunzwaje mambo ya tarakilishi in pure Kiswahili?
Mathabodi, PCI-expressi, RAMU.. these aren’t words. So how can you understand technology?
255
2
Waulize wachina wanaliowajengea SGR waliojifunza vipi kuunda train?
Tulisaidiana hadi Rift Valley alafu tukawaachia juu kutoka hapo ni ngumu. Kwani mnaona tulianza kutumia train in 2015?
Heshimu jogoo buanaa!
255
4
Kila mtu anajua, wakenya wananyonya mikudu ya wazungu.
1 Like
Issok. Majimaji 2.0 in HD.