Only machine ya Bandit ako alive
UG road ni nyweeee Hadi kwa border. BUT ukingia kwa Gachagua …nikama handshake bado fix unaingia mawe
Only machine ya Bandit ako alive
yangu imetoboka juzi na siku notice
Niliikayagia karibu 1km
NGO gani mkuu?
Not NGO hao ni North Pole boys Wa 4x4 squad fleet kama 13 LC.
Hiyo tyre ya Goodrich imebeba the ’ wide’ Nissan patrol.