Turnboy chronicle

This time I was jobless pale Jomvu new total petrol station,kazi ilikua kusubiri my fren wenye wameeda nyairofi na wamekam na mirage. They used to give me 200b after I assist them with job ya kubadilisha miguu,kupewa mimi huyoo apo nyuma ya KTDA kuna dem alikua yuwauza mnazi kwa jina Marium. I was enslaved to that traditional beer,and that how I used to live. One day nikiwa nmechill kwa gari ya besty yangu Mwitii wondering where I will get 300b nikalipe Marium deni ya mnazi, a friend of mine akakam na kunishow kuna mzee anadai turnboy waede naye trip kadhaa. Apo nkajua maulana amejibu maombi yangu, I went to him and we agreed on payment 12k PM.He asked me whether am ready because we have to travel hadi Malindi Usiku kindu saa mbili ivi do by morning tupakiliwe chumvi tupeleke Kampala. Huyo Mimi adi mancave ya Mwîtii where I used to keep my belongings, picked three T-shirts na longii tatu.By 8 we were good to go tukafika Malindi kupakiliwa chumvi na safari ikaanza.went for kindu 4 trips all going well until trip ya tano nkaona huyu @meriamata ananibeba ufala.
This trip we loaded salt which we were to take it to Kampala as we used to. Trip was fine,but kabla tufike pale Webuye pan paper tukaskia twuuuuuufff!, what’s that?? deree akaegeza gari kando. Tukashuka kucheki chini clutch ilikua imeburst oil do ilikua inamwagika tu, ikatuforce we sleep there since ni usiku and wait till morning do tusake mechanic atengeneze. The following morning deree told me he will go back to nyairofi and he will come with his trustworthy mechanic na new clutch. I stayed there for two day na mluhya watchman wa kulida gari usiku,that guy alikua very young ukimcheki but to my surprise alikua na watoi wanne,living kwa nyumba ya matope two rooms. Was paying him thao every night,instead apelekee pipi pesa alikua na Momo ugly face,shapeless wananyonya ma chupa apo wakati boychild nakunywa ma Keg zangu( Mombasa was hard sana kupata base ya keg and I opted for it)

FF: mkembe ikatengeneswo na safari ikaanza kufka border Busia hapo we spent three day waiting to be cleared juu client alidai hiyo chumvi tutaipeleka adi Rwanda instead ya Kampala waaah. Now am left with only 200b in my pocket. Kwa border deree akapatana na mzoga ilikua inadai inaelekea Kampala kuuza ma air Freshener, nkajua hapo deree ameangukia. Safari sasa ikaanza combined with masaibu,we traveled kindu 50km and before we approach the first town dio tutie ndani (food) ile ile clutch twaaaaafff, but this time it wasn’t that crius deree drive mosmos adi mbale town. Apo kwa iyo mtaa we spent kindu 4 day since wale mechanic do wangetengeneza gari.Those 4 days nlikua broke ile baya na trip dio iko halfway, deree used to sleep kwa lodging wana nyanduana na boychild alikua anachapwa na jeve dani ya gari.

One day nkasema Leo lazima ntafte doh and the only way ni kukamua mafuta mitungi mbili, tukachora na watchman antaftie customer jioni. That nigh plan ikaingiana na nikauza mitungi mbili 60k za UG,nkajua Leo lazima shuma yangu ioshwe direct kwa pub. I katiad kunguru, kuskia mi ni mkenya akachizi nami, nkachapa chupa tatu na kuchukua room nkararua mzoga pole pole adi morning, kindu 5 nkachapa morning glory na nkampea 10k ugsh nkarudi kwa gari. Morning mecha na deree wakaraukia gari na kuedelea kuitengeneza, they didn’t finish the work wakasema kesho watamalisa. Now the money I was left with after guthuguna na kutei was kindu 5k and that was enough for supper only. As usual nkakamua mtungi moja jioni and back to the same pub, this time nkadecide ni gonga toka gonga toka,nkafinya wawili na kumesa chupa moja and went back kwa gari. Following day we were good to go, sisi hao jinja Kampala teke teke kufika ka town flani deree akadai mafta imeisha kwa main tank, nkatoa pipe ya upepo and connected kwa tank ya nyuma @meriamata waelewa. Hapo ndio nlijua sijui kumbe the fella( watchman) after mi kutoa mafta ile base na kueda lodging jamaa alikamua mafta bila mi ku notice.deree kuona ivo akadai " kamau ndu ngînjiya maguta makwa".Now I was trembling like @kushyulemnono alipopatikana na @psyudomy, nkajua mimi kwisha. I tried to defend myself which am good at, I told him we will go back there and tell watchii atulipe mafta yetu because we were paying him kucheki gari.Back in my mind I was sure if we go back there katanuka baya sana and I might go to jail in a foreign country. Deree agreed and he bought diesel swearing mwenye amestole that diesel must pay for it daring to visit mganga. Kufika border ya UG na Rwanda we were to wait for someone who would take us through from there.Now I was depending on him juu I didn’t want to show him nko na dooh.
The following day kindu 6 in the morning I made up my mind, Canaan siedi back to misri. I took my wallet, passport, phone wear two trouser nkangoja waede breakfast. aaaah nmechoka Kuch type.

endelea @bjurmann,

Poa. Ukipumzika kam umalizie

:eek::eek::eek::eek::D:D:D:D:D…malizia hekaya ama utakula mangumi, shensi.

Nugu maliza hekaya

Using ka small phone but I will

Maliza hekaya vile ulimalaysia

Yaani ulikuwa unaenda trip bila kubeba ngotha extra fresh. Kweli wewe ni nyani.

why haven’t you asked whether I carried ID ama Kiatu chieth.

Ngotha extra pairs ni muhimu mboy child… Hapo part ya kuchukua extra three tshirts and three trojaz ungeongezea them ngothas… Tujewe wewe ni msee hygiene…turnboy wengi ni wasee anti water.

Theme of hekaya
Mwizi si poa.

hehehe… that was many years ago my friend

Mwanaume ni kusurvive. kwanza ningekua wewe ningekua nauza mafuta usiku mzima, pesa ikitosha narudi zangu Mombabsa

Gatii gaka malizia hekaya kwa ii section yA comments

ngitîî wewe

Nice hekaya malizia bana

Muici

@Kihii Kiaganu

weee I didn’t stole tu quench my thirst na tei na malaya,but that Guy treated me like baba treat watermelon.

Swafi sana. Part 2 ikuje sasa