Turn Your Lights Down Low...

Saturday night! What are you guys up to?

Am just jamming to this song!

Playing FIFa15 while drinkin–later on kedo 11pm niko K1

Jirani Kapsa! At Galileo’s… life hamna! Might come there…

Niko hapa kwa njenga with ya fellow hood rats … come thru’, it’s on the house tonite.

Wacha tuone Juniper kuna nini…

niko mundeke. tunapanga mbuzi ya kesho saa tisa. kaa uko Mombasani nivutie wire

3 Likes

Just walked out dreamgirls the play

nani ako Juja Capital Center ?

2 Likes

Ghaai ndio naamka…

Ghaai ndio naamka…

1 Like

Niko Home pub…and I have started applying the msd formula: minimum staggering distance.

my brothers from another mother, lazima tukunywe kitu, i know life is short, lakini msiharibu maneno
transformer itaenda
gd night

4 Likes

Lazima nikupitie one day nikiwa area, kaka. Mmetutoa mbali. Wewe, L12 na wengineo

The last play I watched…high school, drama festivals!!

Niko club n with all these babes am tempted to touch.:smiley:

@[SIZE=4]Female Perspective
at home staring at your avatar![/SIZE]

Hii kelele yote juu watu wamelipwa.

2 Likes

Mimi hulipwa kila siku na sipigi kelele.

Exactly. Watu wa end month tunawaona.