Tupo Somalia aisee siamini. Ona Makonda na mapolisi wakijiburudisha kwa kuiba kura

https://external.fnbo1-1.fna.fbcdn.net/safe_image.php?d=AQBTOMZ3eMlQ1L9v&w=540&h=282&url=https%3A%2F%2Fwww.ippmedia.com%2Fsites%2Fdefault%2Ffiles%2Farticles%2F2018%2F09%2F18%2FMAKONDA+POLISI+2.jpg&cfs=1&upscale=1&fallback=news_d_placeholder_publisher&sx=14&sy=0&sw=632&sh=330&_nc_eui2=AeF5In-Mjiyz5J4ZfZMrPrpj5ibhER9zDoK8lGRnusg5-ejBm3Zr_tERTSJcaukVH_4HKz2XlulFiJ_qfD4vhocpkPQuLx-dfMpdZCLuGrlVDw&_nc_hash=AQDWooUArGXjojE7

Nchi haiko mikononi mwa watu sahihi inasikitisha

hivi hilo sio kosa kama kukanyaga pesa

Aisee!.. Hata hivyo hakuna marefu yasiyo na ncha…

mmmh hii ni haitariiiiiinaiiiiiiiiii sana

Hawa watu ni wapumbavu kuliko maelezo. Tatizo ni kuwa tutaathirika wote kutokana na upumbavu wao.
Wanajua wamefanya madhambi lukuki na hivyo hofu yao ni kuwa hawatakuwa na mguu wa kusimamia nje ya utawala. Polisi hawa nao wana msururu wa legal violations ambazo watawala wanawakumbusha “unakumbuka ulifanya a, b, c? Ccm ikitoka madarakani utashughulikiwa etc, etc”.

Tusitegemee manyang’au haya yatende haki. Let’s start something however small. Individually and in whatever way that can hurt.