Tunakujua

@Meria Mata wacha kutoa screenshots kwa kijiji ukipeleka fb.umezidi sasa[ATTACH=full]172537[/ATTACH][ATTACH=full]172538[/ATTACH]

Kuna wengine wanapeleka kenya post - wakome!

Ngommerrr, siko fb

Ungemwitisha evidence!

Kumbe kuna watu huku hawakuwangi FB. Unajuana na Mekatilili wa Menza??