Tutawafikia huko
Kenya basi ziko za standard nyingi sana. Angalia buses za Nbi-Mombasa-Malindi. They have premium buses. Kuna hadi blogs za kenyan buses. Ni venye sasa si kila mtu atawaste time kupost images za buses kwa forum kama hii. Check Bus Kenya | Africa | We Are Simply The Best…
Do I need to see in blogs?
Acha kihere here
I don’t care. Nakuonyesha jinsi Kenya katika maswala ya transport tunajua. Kuna blogs, tiktok hadi youtube channels ya buses za Kenya. So point yako ya kutupigia picha kuonyesha mko na buses mpya haibabaishi mtu. We are past that stage.
Mbona kawaida. We are not first world country. Hii hali ipo kwa nchi zote za kiafrika ikiwemo Tanzania
Hizi chai maharage nazikumbuka za miaka ya 2012 to 2015. Zilikuwepo lakini sasa hakuna uchafu huu.
Wengine wanasubiri
Hapa nimeshikilia mpaka kieleweke









