Nafasi za kazi ya Udereva wa Malori kutoka kampuni ya Motrex Limited kutoka Mombasa
Tunawatangazia nafasi za kazi za madereva wa malori, kwa masharti yafwatayo:
-
Mwenye Umri wa kuanzia miaka 30 na kuendelea
-
Mwenye driving licence aina ya atik…
-
Mwenye ujuzi wa zaidi ya miaka 3
-
Awe mkenya mwenye kitambulisho cha kitaifa.
-
Vyeti halali vya ujuzi.
Twapatikana Mikindani katika barabara kuu ya Mombasa na Nairobi.
Piga simu nambari: 0726631272 au 0726666271
VERIFIED