Nataka kujua namna ya kwenda outcountry on sponsorship terms. Kama dubai usa ama canada
Ulipata A strong?
Grades ulipata ni za Kaimenyi ama Matiang’i?
Declare yourself a General in NRM.
You’ll just find yourself in Canada!
so,unataka kuwa sponyo ama ukue na ka sponyo kako? Dubai kuna sponyo wengi,US maybe,canada not sure
:D:D:D:D
Zangu ni za sam ongeri
Nataka kupata kamzungu
Fill in the blanks (10 marks)
10%______________
90%_______________
It’s the ktalk way.