Toyota Rush New Model upgrade

How many have noticed the Peasants SUV/ Prado has upgraded in size and body kit? It looks bigger and wider. Looks more of a small Rav4…nimejaribu kuangalia bei Jiji.co.ke na sizioni bado naona the old ugly and narrow ones. And yes i know Rush was a rebadge of Daihatsu


1 Like

Shida ya hii model mpya ni ati it is a rear wheel drive vehicle na haina 4WD option. So kwenda nayo ocha ni shida

2 Likes

Umenikumbusha Mark X yangu ilikuwa inakwama kwa nyasi :rofl:. It was a good car though but that rear wheel drive used to drive me nuts.

Gotea msee wa tropicals Kwa jam

3 Likes

Utanunua njugu?

Mtingiza shika rav 4 ukiweza. Umeamua kuondokea Honda fit. Hako ka gari hata siwezi jaribu kuendesha. Ni kapyenga saidi

Kuna time pale Ngara I hesitantly bought sweets from an urchin then some random guy walks up and says “uko na bahati umepromote boys”. Then I realised kama singebuy tropkos side mirror ingeenda ya Toyota Noah :sweat_smile:

I have 2011 Honda CRV elder. Honda fit na Ractis na Demio ni za Uber…cant touch those tadpoles with a 20ft pole

Bro…sometimes i buy small shit i don’t need on the rd coz manze unaona msee vile amechomwa na jua manze …then naenda kupeana mbele. … hizo njugu za barabara nasikia ukiona behind the scenes huwezi kula njugu maishani…kuna clip ilikuwa hapa wakikaanga hizo njoti na sulphuric acid