The hiace has covered a distance equivalent to traveling around the world. Na still inakaa mpya. Inakuja huku msee anauziwa 3.5m.
Ukiwekelea a new engine uko sorted but again kama ile iko, iko sawa then no need.
Furaha kwa mwenyewe kupitisha achievement but hasara kwa Toyota.
Imagine ingefika 300k na aende mpya hizo ni units ngapi wangeuza
50k bei ya jioni.
south africa ni dunia tofauti na kenya.
gari mpya ya kenya iko kwa condition mbaya zaidi kuliko io imetembea 1 million miles
Mileage kama pussy ya kapotty
Normally I see 8 year old jalopies being advertised ati less than 100k Kms nacheka tu. Kwani gari ilikua parking the entire time…
Hawa used car dealers I don’t trust them, kuna venye they tamper with the odometer. Just wondering how since most are digital
Kumbe wewe ni otoyo gang.
Natambua japanese. Toyota ni gari unaeza funga engine ukifuata tutorials online.
Gari iko 2NK inaenda from Nyeri to Nairobi daily inatembea trips sita hiyo ni 900km daily. In three years inaenda around 900000km. In four years imepitisha one million kilometers. Unauzia wale wa rural service PSV ama town service ya Mwiki-Kasarani-Cbd
Siku utakaa japan kiasi utagundua they rarely use their personal vehicles. Hizo hua za weekend…and thats how good their public transport is.
Hata hapa tu wife alibuy gari mpya and since she rarely drives naona bado less than 40k fours years later.