…is it true it gives 7km/l of fuel?..is it true it uses special spark plugs worth 26k?..if its true then billionaires mna shida
Is it also true that it a Merc wannabe ugly car?:eek:
And it’s Toyota Mark 10 not Mark X, (in pronunciation).
If it were so, why don’t we ever call Toyota Mark II, Mark Double I?
Toyota always ahead and behinds you ! Lov these cars
7km/l for a merc c180 wannabe. Iko down.
I would never own this machine…so squeezed interior…ni kama uko Kwa backseat ya Ummoinner.
Fuel consumption is crazy. Gear box sijui huwa na shida gani wale nmeona zinawasumbua sana. Pia suspension iko na fibre blah blah blah na ni rear wheeler kama lori za ndarugo.
Lakini naiheshimu Kwa Kwa V6 engine and the overtaking speed is awesome.
…ati rear wheeler kama …pia toyota crown
:DBoss wacha kudharau gari za wenyewe hivyo.
[ATTACH=full]46383[/ATTACH]
Sio Kwa ubaya I exchanged my car na mark x ya workmate for a month…sijawai pata stress hivo. Driving space zero you can hardly scratch your balls while driving.
[ATTACH=full]46387[/ATTACH]
na Avensis iko aje?
Kwani unatoshana na nini? Space iko sawa
Nikikujibu hii mtasema mimi ni hater but it’s curious to know that Avensis watu wako nazo ni KBT-KBU. Tafakari ya babu
Sema tu. chambua vile umechambua Mark X
I think watu wame realize ni gari ya mashida mob that’s why nobody is buying them no more
its Mark EX…by toyota
gari za pawa ni rear wheelers. There is not enough space for the engine and transmission at the front. Apart from being sturdy, the rear wheel delivers the kick properly
hehehe my neighbour has a kbu
Mark X gari sura mbaya kabisa.
service grogon kulipa ni 35000.saa hio we ni mwenyeji