Tottenham, arsenal is WWE

Half time 7 yellow cards

1 Like

Game ya Ujinga hii, hebu angalia goal attempts?

Let me switch and watch Girona vs Barcelona sasa. Hii game itachoma investors wengi kama Liverpool Jana

2 Likes

Niaje kaka, naona bado huja recover kama mwana. Wacha nikumalize kabisa

1 Like

Liver walikua wanatulia juu wanakutana na Milan UEFA.

1 Like

Hata bado wajafika anfield…hawajapiga tizi, watapigwa

1 Like