Together as one

Nobody can stop reggae
[ATTACH=full]244757[/ATTACH]

Dereva ni dereva tu… More so akiwa dereva wa Lori.

Iyo unapeleka kwa succeed new shape vc

cant you see the chinku looking the other side

Si yeye ni dereva wa hiyo lori ama yeye ndo mwenye kununua?

Ikonomy ndio mbaya

Tajiri aweke kichungi kwa iyo tank, what goes in can’t come out…

Succeed ya hii ng’ombe hutumia coal.

Ni dere na ndie anauza

you cant beat us.
hebu jaribu uone.

Mtabeba mpaka tank.

tunafungua kale kabolt ka kudrain tank

Akitoka hapo ana-shout ‘Gatheca ni mwizi’