waungwana mnisaidie katika hilo.
dah ilo jina lako aisee ila aina noma tustik kwa mada
app ni kifupi cha application , mfano whatsapp, facebook ni app,
kila mfumo wa sim ( android , ios , windows, blackberry , etc )
hua na platform yake ya kutengenezea iyo app, unaweka ‘codes’ pale ukimaliza ‘compiler’ ina ‘attach’ ‘extension’ maalum kwa OS maalum
apk ni extension kwa android
ipa ni extension kwa iphone
exe ni extension kwa windows pc
xap ni extension kwa windows phone
cod ni kwa black berry
mf: whatsapp.apk, hii utairun kwa simu zenye OS ya Android
whatsapp.cod , hii utairun kwa simu zenye OS ya blackberry
Ahsante sana chief
Ok, sasa nimeelewa.