Today's Woman ni Bure Kabisa!

During our grand father’s/mother’s time, the man of the house used to sit under a shade (baraza) and talk all day with his fellow men. Women used to walk long distances to fetch water and get firewood, wanarudi home, they cook and feed their families. They never used to complain eti mume wangu hukaa na kulishwa tu ama kusema kesho ni zamu ya mume wangu kwenda mtoni. Mademu wa sasa, even a simple thing as opening the door wanataka wafunguliwe (eti ni ishara ya mapenzi), cooking for her once in a while na malovey dovey mengine ya kishenzi sana…na licha ya yote hayo bado yuaweza kukucheza ama kukutema. Wa kitambo walikuwa hata wanachapwa lakini wanatulia na waume zao. Mademu wa sasa nini mbaya? Wamekuwa ovyo kabisa, wavivu sana, shenzi kabisa…eti romance!!! Romance katafuteni kwa Alejandro

3 Likes

times have changed my brother…like triple h said ‘adopt or perish’

2 Likes

The worse part i hate ni uzembe…when u tel her to rise and prepare u for the day,amechoka juu pia yeye ni working class and the money she earns ni yake na mahitaji yake .You settle all the bills in tht house alone…BURE KABISA

3 Likes

why didnt they move the village karibu na hiyo water source ndio wanawake wasichoke sana?

2 Likes

A woman is as good as you treat her…

Wee umeoa??

1 Like

Ghasia takataka ya working class

[SIZE=4]"Adapt or Perish[/SIZE]"

1 Like

Nilisoma mahali “when you’re given peanuts and you take them, it means you deserve them”
Akijuwa wewe ni mwanaume wasiwasi, hata viboko utachapwa. Ukiingia hiyo apartment, unageuka simba hata kama job yako ni wasiwasi.

5 Likes

Aki watu ni wajinga

3 Likes

Dio …!

wewe tafuta time capsule uwe de-reincarnated ndiyo uishi kama great grand…la sivyo, kamba itakufaa

Villages had to be in secure areas where it would not be easy for enemies to attack. Kuni zilitolewa kwa msitu. Watu waliishi mbali na misitu juu ya wanyama

2 Likes

Madame wa kitambo walikuwa wanapea mabuda blow jobs??

You meant ‘adapt’. But I agree with the gist of your comment.

We can’t live like we used to one century ago. So, just move with the times.

The hunter has become the prey…

It depends on how much you stand your ground. If you let a woman do things for you juu anataka uko kwa shida. She takes care of her responsibilities as you do yours. excusable moments should be few. Otherwise, leave her and find another one who is willing to do things without excuses.

Wanaume na kulialia siku hizi…SMH

1 Like

Njoo tufunguliane milango.

1 Like