Ninatamani ningekua na uwezo wa kuyaona yajayo ili tu nione mwisho wetu utakavyokua
Lakini ndio sina uwezo huo mpenzi na jukum hilo analo Allah pekee hivyo kwa hapa tulipojaaliwa tutaenda na kuishi hivyo hivyo kwa kumtegemea yeye
Namshukuru Mungu mwingi wa rehma kwa kukuleta kwenye maisha yangu babe bila yeye hata tusingefika hapa tulipo japo tuendako ni mbali lakini nnaamini kwa pamoja tutaweza kufika kule tulikojiwekea malengo tufike
I just want you to know babe, i love you na sitachoka na naomba usichoke kunivumilia na kunipenda na tabu zangu sababu najua hatujakamilika sisi binadam
Mpenzi wangu, maisha ni safar ndefu sana had watu kufikia malengo yao ujue wamevumiliana mengi mnoo, usinichoke nitakappkukosea niweke wazi hata bila kihofia nitaumia huko ndio kunijenga honey nakupenda zaidi ya neno sana
Kweli Mungu alikua na makusudi yake maalum kutukutanisha haikua bahati mbaya bali ilishapangwa iwe Mungu atupe maisha marefu na afya tele tuzidi kufurahia safari yetu me na wewe, @Archdukee i promise to love you with all my heart