[ATTACH=full]175890[/ATTACH]
Tuliona lini
Leo
Moses akicut waters
Mbafff:D
Umeelewa kitu amesema?
Nani huyo, yesu au @Phylgee ![]()
:D.Huyo phyl
Mechi iko karibu kuanza, ingia hapo base uitishe kanywaji…
:meffi:
Kam tuwatch game…
Weuweeee!
Hapo hakuna game tutawatch… game tutaicheza:D:D
Nilielewa, lakini hii kuCut ndio sijui alitoa kwa moses yupi? But sasa nitaitwa kombamwiko…![]()
Komba bila mwiko!!
Wacha nicome basi, ‘whatever shall sing, let it sing’![]()
Kaa huko Ng’ombe hii
Kwanza tunawatch opening season EPL ama hatuwatch ngombe hii cc @pseudonym
[ATTACH=full]176282[/ATTACH]