[ATTACH=full]11817[/ATTACH]
ION Mombasa residents waliamka na kuenda beach for a much needed bath, its been one week two days without water, @Jazzman ako Nyali beach, @Da Vinci ako Bamburi beach, @bjurmann ako pirates na @Supu don ameonekana Shanzu beach. @mabenda4 has hijacked the only water bowser in the county and he is making a killing. Watch the 1pm news
Hehehe! Lakini usiseme kwa sauti, bwana! Niko ndani ya bukta pekee na hiyo kwetu ni kuwa tuputupu! Kitambi nayo!
Halafu akatoa wa…?
Akatoa wallet
Akanipa elfu ta…?
Elfu tatu
Apana alinipa elfu tano.
How the hell was I supposed to figure out it was tano and not tatu???
eeeh, that one
Hehehe. Like for real we almost went swimming. Saa hii Ndio tap zimeanza kungorota na kudrip. Almost closed shop
…mimi na Boss wangu tukaingia kwa Ba…?
Kwa Bafu
Hapana, kwa Bank
Kj head on corrishon
Kwa Bar
The ‘clever’ ones like me always find reason to be away from Mombasani show ikifika.
hii story ya maji haileti shangwe…mimi nilihamia karibu na kanamai beach…
Finally we get water, sasa guys are filling all availiabe containers, ata vijiko
Buloti ni ngapi huko
hehe. Mugikuyu na tuburoti.:D:D
Aki watu wa pwani mrudishiwe maji. Nimeamshwa nitume thao ta…tano ya kununua Dutch Water.
mtu nguyas, Thao Ta
Tano
Ya Dutch Wa
Water
Ninyingi Sa
Sana
kwani ananunua indian o
Ocean
Kwani ananunua Indiana O
Ocean
Hapana,si ya ku
Kununua
Ni ya Likoni fe
Likoni Ferry
Thao tano ya kununua Fe
Ferry
Mimi Naona kama umetupa Mba
Mbao
Nenda kanunue power Ba
…
Hehe si watu hapa wako na upusi