TINDER KUNGURU.

So am in mombasa and ive set my Tinder radius to 10 KM. I get this Kunguru we agree to meet tomorrow… Alaf Kunguru tells me she is in NAIROBI i send fare… So nai to msa is 10km

ghaseer utafute mwingine ucancel trip ubook ingine kama uber, Wapi mbisha meffi

Hakuna

Ingine?:confused::confused:

Meffff

weka number yake kwa ‘sure bets’,post it pale telekramu…let the universe do your evil work:saitan::saitan::saitan::saitan:

Ungekuwa Malindi ningekutumia number ya mmoja mzuri sana mDigo.

:D:D:D:D:D:D

Nini? Picha au poko?

Is she the only match in Mombasa a very densely populated Island. Be serious my friend. Don’t look for maps to know that is a fraudster.

Picha ya poko

At least tuone penye audacity ya kuitisha fare inatoka

Huyo ni beta male, with this heat badala apumzishe mkundu kama wanyama wa pori then usiku aende kuwinda when odds favour him, he ends up sending money to a fellow tree holder akidhani ni kunguru. Hiyo pesa yake saa hii inatumiwa kukula sima, mchica na mchuzi wa samaki wa nazi

Aye bro there are soo many nice and better girls in Mtwapa, this girl is nothing special, that 10k can get you 5 other women for a whole night on her level and better, relax my G and just look around!

muko sure coast huwa hawamwagi sewage kwa ocean ?

Msa huwezi kosa kunguru. Cancel hiyo fala na uendelee kutafuta

ghasieer ingia craiglist upost kitu unataka plus location watajileta wenyewe

acha overthinking, tider does not update automatically as you travel. labda aliweka hiyo setting last year, na amehamia nairobi.