Timū Njegaa inauza hawa

I thought Fred ako chonjo Wadau…

sancho flopped bana angejua hangetoka bvb

5 Likes

kama harry maguire anauzwa 40 million then inflation is real…wah

2 Likes

[quote=“josento, post:3, topic:449727”]

kama harry maguire anauzwa 40 million then inflation is real…wah

[/quote/] Hiyo Bei ndio true value yake,hakuna inflation hapo

Sancho haijulikani kama atauzwa,Fred is inconsistent,he’s not good enough technically and easily gets bullied.

1 Like