Wakenya tulikosea wapi?? …Look at Tanzania ; hit after hit from the likes of PLATINUMZ,KINGKIBA,BARAKAH THE PRINCE,HARMONIZE etc. Yaani the quality of music from that country is so fine.Hapa kenya kazi ni Kasabun and Nyongwaa!!..Nonsense
Shida ya Bongo nayo ngoma zao mob zina sound the same, kila mtu anajaribu kuimba kama Diamond mpaka nowadays I get irritated when a matatu play bongo mixes.
WaTanzania tulikosea wapi jamani? Look at Kenya; kila mwaka ni ma medali katika nyanja za riadha na raga. Tanzania ni nishani tu mbili - na hata si dhahabu - tena ni zamaaani hata hakuna mtu anakumbuka tena.
In short, kila jamii ina vipaji vyake. Ijivunie na ifurahie hivyo. mambo ya nyongo juu ya vipawa vya wengine au wivu tuachie shetani.
Hapa umedanganya …Take for instance Navy Kenzo anatumia dancehall flow in his music but still…the music is better than hii ya kenya …PLatinumz naye tunajua he is creative…Naye ALIKIBA tunajua stronghold is vocals…the guy has a fantastic voice…in short watanzania sing with passion
Kwangu vocals za hawa wasanii watatu zinafanana. Hii ndio kitu niilikuwa nina sema kuhusu bongo flava ya siku hizi. Wasanii wengi wana copy Diamond.Hii ndio kitu ilifanya hata si skizangi bongo za siku hizi.
I understand mvumo wa radi borrows much from Congolese music but i dont understand how it is related to nimpate wapi by diamond…Hii comparison haiingiani…What i know is that nearly all bongo songs revolve around mapenzi…for instance ukiskiza song ya ACHA NIENDE by baraka prince na pia usikize Aiyola by harmonize …you will realize that they are basically the same thing…
I am talking about vocals not lyrics or beats. Yani ukiskiza sauti za hao wasani na vile wanaimba hizo wimbo zao utaona zinafanana.
Nina kubaliana na wewe karibu wote wanaimba kuhusu mapenzi.
Kwa mfano uchezee mtu ambaye hajui Diamond hio wimbo ya ali kiba na abdu kiba, huyo jamaa atafikiria ni msani mmoja kwasababu sauti zinafanana na style zao pia zinafanana.
sasawa …hapo ni ukweli kabisa
Ngoja hadi usikie yenye Mungu anaombwa nyonyo ndo ulalamike
Did you mean tosay trash??