Utavunja shiiingo. His mama must see this[ATTACH=full]180123[/ATTACH]
:D:D
unadhani masake akiona atamchapa?
hii ndo kukaliwa naskianga
:D:D:D:D:D
1001 ways to die!
kila mtu atabeba msalaba wake
Ndio ugonjwa wetu huo…
Wacha wafunjane tuu
hahahaha, imebidi na wewe uongee kiswahili cha huku ugenini, hahahahaha
Hahaha
Umeonaeeee, hakuna namna ingine
Kwa mtindo huo, wembamba kazi tunayo. Duuuu. Hii hapana.