This is how 1st class on a plane looks like

I know many of u have never been in a plane before and if u might then u flew on Economy Class…anyway let me show u how 1st class looks like.
POV photo of jay flying from Amsterdamm to Nairobi, this morning.
[ATTACH=full]10704[/ATTACH]

Aki Jay si next time you take me with you. Napenda sana.

P.s I’ve seen this photo on pinterest

8 Likes

Aki gay si unapenda hekaya

1 Like

Na hiyo kiti iko nyuma haikai kuwa na meza yake…ata space ni ndogo…Ni ya seculily ama???

business jet, wewe ni fala kapsaa

Wacha ujinga Jay. Hio sio 1st class, ni private jet
[ATTACH=full]10705[/ATTACH]

3 Likes

Btw ndege huwanga na gears manual ama ni auto?

hii umelipiwa ama picha zimetumwa na whatsapp na mundumulusi.

Msee hawezi omba dame maku ni mpaka aandaliwe kombi na beshte ni mtu anaweza afford hata ticket ya Molo line prestige kweli?

7 Likes

:D:D:D:D:D:D:D:D:D

Ona sasa vile umejiwaste na Unicorn anakudai. nkt

[SIZE=7]FAKE IT TILL YOU FAKE IT FOR REAL
[ATTACH=full]10707[/ATTACH] [/SIZE]

8 Likes

Ati i know many of you…

siku hizi boeing iko na tiptronic

Hehehehehe.

BOTH

@nairobilay …kuna crime scene hapa…forensics pliz!

Even you know that this imetolewa net…so investigations are unnecessary. But here you go:
http://www.wallpaperseries.com/interior-designs/modern-private-jet-interior-wallpaper.html

https://www.youtube.com/watch?v=qBdSA6FpfMY

Swali tu? Ukikaa ecomony na mwingine akae business class nani atafika kwanza?